Imetumwa : February 19th, 2025
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mheshimiwa Abubakari Kunembe ametoa Shukrani za dhati kwa Mheshimiwa Rais Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kuleta utatuzi wa kero na changamoto mbalim...
Imetumwa : February 19th, 2025
Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imezinduliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Februari 19, 2025 katika Viwanja wa Madini wilayani Ruangwa.
...
Imetumwa : February 11th, 2025
Feb 11,2025 Benki ya Taifa tawi la Mtwara kupitia Meneja wake bwana Melchiades Rutayebesibwa imetoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea juu ya utambuzi wa Noti sahihi...