Imetumwa : July 18th, 2025
Tarehe 18 julai 2025 halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imeendesha mafunzo ya Mfumo wa Anuani za Makazi kwa Watendaji wa Vijiji, yenye lengo la kuwawezesha kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa mfumo ...
Imetumwa : July 15th, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Mhandisi Chionda Kawawa, ametoa wito kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vilivyonufaika na mkopo wa asilimia 10 ya mapato...
Imetumwa : July 13th, 2025
Mnada wa tano wa zao la ufuta uliofanyika tarehe 13 Julai 2025 katika kijiji cha Luchelegwa, wilayani Ruangwa, umewezesha uuzaji wa kilo 3,825,910 kutoka maghala tisa ya wilaya za Ruangwa, Nachingwea ...