Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Nachingwea kuwa Tarehe 27, Oktoba 2022 kutakuwa na mkutano wa Braza la madiwani robo ya kwanza Julai - Septemba kwa mwaka 2022/2023. BARAZA.pdf
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.