Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Umma katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu (TTC) amewataka watumishi kuwa weledi kwani serikali haitakuwa na mzaha na watumishi ambao siyo waaminifu na wasiyo waadilifu katika fedha za umma ziwe ni mapato ya ndani au serikali kuu. Ameeleza ni wajibu wa Halmashauri na wakuu wa idara kusimamaia fedha zinazoletwa ndani ya halmashauri na katika idara husika hadi mradi unapokamilika
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.