• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

VIONGOZI WA DINI WAOMBWA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

Imetumwa : January 24th, 2025


Afisa Mwandikishaji wa Wilaya ya Nachingwea, Mhandisi Chionda Kawawa, amewataka viongozi wa dini Waislam na Wakristo kutoa ushirikiano, kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi ili washiriki kwenye zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura. Hayo maeyazungumza leo, Januari 24,2025 kwenye kikao na viongozi wa dini wa madhehebu ya wakilisto na Waislamu mbalimbali wilayani humo, Kawawa amesisitiza kuwa viongozi hao ni muhimu kwa kuwa hutumika kuelimisha jamii na kubadilisha mtindo wa maisha.


Aliongeza kuwa ni muhimu wananchi wajitokeze kwa wingi kwenye zoezi hilo kwani kadi ya kupigia kura ina umuhimu mkubwa baada ya uchaguzi, kwani inaweza kutumika kama kitambulisho cha taifa.

Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura linatarajiwa kuanza rasmi Januari 28 hadi Februari 3, 2025, likihusisha kuboresha taarifa za awali za wapiga kura, kuandikisha wapiga kura wapya, kutoa kadi mpya kwa wapiga kura, kuhamisha taarifa za wapiga kura waliohama makazi, na kuondoa taarifa za wapiga kura waliopoteza sifa.


Afisa Uchaguzi wa Wilaya ya Nachingwea Ndugu Robert Mmari, amewataka wananchi kujitokeza mapema katika zoezi la uandikishaji ili kuepuka foleni, na kuzingatia kuwa ni muhimu kushiriki mapema ili kuepuka msongamano wa mwisho. Alisisitiza kwamba wananchi waende kwenye vituo vyao vya kupigia kura na kupeleka taarifa zao wenyewe wakati wa zoezi hilo.

Akijibu maswali kutoka kwa wachungaji Simon Njenda na Charles Mwansasu, Mmari alisema kuwa wananchi watapata taarifa za kuanza kwa zoezi hilo kupitia matangazo yatakayopita katika maeneo yote. Pia, aliongeza kuwa watu wenye ulemavu, wazee na wajawazito watapewa kipaumbele wakati wa uandikishaji.


Aidha, Mmari alisisitiza kwamba Serikali kupitia Tume Huru ya Uchaguzi imetuma wataalamu kwa ajili ya kushughulikia matatizo yanayoweza kutokea, kama vile matatizo ya mashine au mtandao wakati wa zoezi la uandikishaji.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MWENGE WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 2.2 CHANGAMOTO ZA MAJI,AFYA ZA MALIZWA WANANCHI WAFURAHIA NISHATI SAFI

    May 29, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU KWA AWAMU YA PILI

    May 13, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI NACHINGWEA

    May 29, 2025
  • RUNALI YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU WA UFUTA NA MBAAZI KWA MSINGI WA UBORA NA UWAJIBIKAJI

    May 28, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.