• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

MHE. DIWANI KATA YA STESHENI ATOA MOTISHA KWA WAALIMU SEKONDARI YA STESHENI

Imetumwa : February 5th, 2026

Diwani wa Kata ya Stesheni (Upande wa Kulia), Mhe. Ramadhan Mpilipili, tarehe 4 Februari 2026 ametembelea Shule ya Sekondari Stesheni kwa lengo la kuwapongeza walimu wa shule hiyo kwa kufaulisha vizuri wanafunzi katika Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne.

Katika ziara hiyo, Mhe. Mpilipili ametoa motisha kwa walimu kwa kuwapatia mifuko miwili ya ngano, sukari pamoja na majani ya chai, kama ishara ya kuthamini jitihada na mchango wao katika kuinua taaluma.

Akizungumza na walimu, Mheshimiwa Diwani  amesema anawapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya kwa ushirikiano, hali iliyoiwezesha Shule ya Sekondari Stesheni kushika nafasi ya pili kiwilaya, ikizidiwa kwa pointi mbili pekee na Shule ya Sekondari Nachingwea Girls, ameeleza kuwa mafanikio hayo ni ya kupongezwa zaidi ikizingatiwa kuwa Nachingwea Girls ni shule ya bweni, huku Stesheni ikiwa shule ya kutwa.

Kwa upande wake, Afisa Elimu Kata amepongeza hatua ya Diwani kutoa motisha kwa walimu, akisema ni faraja na chachu ya kuongeza bidii kazini, ameeleza kuwa shule hiyo imepata matokeo mazuri kwa kufaulisha kwa GPA ya 2.5 bila mwanafunzi hata mmoja kupata daraja la sifuri, huku Shule ya Sekondari Nachingwea Girls ikipata GPA ya 2.7.


Amesisitiza kuwa matokeo hayo ni ushahidi wa mshikamano na juhudi za pamoja kati ya walimu, wanafunzi na wadau wa elimu katika kata ya Stesheni.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. DIWANI KATA YA STESHENI ATOA MOTISHA KWA WAALIMU SEKONDARI YA STESHENI

    February 05, 2026
  • FOMU YA MAOMBI YA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI

    February 03, 2026
  • TFCG: KUSOGEZA HUDUMA ZA PEMBEJEO KWA WAKULIMA ITAONGEZA TIJA KATIKA KILIMO NA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    January 28, 2026
  • KAMATI YA SIASA WILAYA YAIPONGEZA HALMASHAURI KWA USIMAMIZI BORA WA MIRADI

    January 27, 2026
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.