FOMU YA MAOMBI YA MWANDAJI WA MAUDHUI.pdf
PAKUA FOMU: FOMU YA MAOMBI YA MWANDAJI WA MAUDHUI.pdf
FOMU YA MAOMBI YA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI
03 February 2026
Ofisi ya Mkurigenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea.
Waandaaji wote wa maudhui mtandaoni waliopo Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea kuwasilisha maombi ya usajili kupitia fomu maalum iliyotolewa kwa ajili hiyo.
Fomu ya maombi inaweza:
1. Kujazwa moja kwa moja na mwombaji na
2. Kuwasilishwa kupitia barua pepe rasmi, au
3. Kujazwa kwa kushirikiana na Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, kisha kuwasilishwa kwa barua pepe hiyo hiyo.
Afisa Habari anapatikana Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea.
Barua pepe rasmi ya kuwasilisha maombi:
maudhui@michezo.go.tz
Zoezi la usajili limeanza: 30 Januari 2026
Zoezi la usajili linaisha: 15 Februari 2026
Maombi yote yawasilishwe kwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa.
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.