• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

LENGO LA MAFUNZO NI KUONGEZA UWAZI NA UELEWA WA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Imetumwa : July 2nd, 2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Ruangwa Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema lengo la mafunzo ya Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ni kuongeza uwazi na uelewa wa matumizi wa matokeo ya Sensa 2022, hayo ameyasema alipokua Mgeni rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Mafunzo hayo iliyofanyika Julai 20, 2024 katika viwanja vya Kilimanihewa Wilayani Ruangwa.

Screenshot_20240731_090709_Instagram.jpg

Mhe. Majaliwa amewataka viongozi kuhakikisha Matokeo ya Sensa yanawafikia watendaji wa serikali na walengwa wote (wananchi) ili mipango ya maendeleo ionekane  ikishamili kwa kutumia matokeo ya sensa hii, pia ameagiza ajenda ya usambazaji wa matokeo iwe ya kitaifa na kila kiongozi ajue idadi ya watu katika eneo lake.


Pia, Viongozi na watendaji wa serikali wametakiwa kukaa pamoja na kutafakari hatua walizofikia kulingana na matokeo ya sensa ili kuweza kutafuta mipango na mikakati sahihi kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi na ndio kusudio hasa la sensa.


Mhe. Majaliwa amewaambia wananchi wa Mkoa wa Lindi kua Mkoa una fursa nyingi zinazowavutia wawekezaji hivyo ni jukumu la kila mwananchi na viongozi kutumia matokeo ya sensa kuangalia rasilimali zilizopo ili kuwavutia wawekezaji kwani matokeo ya sensa yanatumika kama fursa ya kupata ufahamu wa eneo gani la kuwekeza na wapi pa kufanya biashara gani kwani matokeo ya Sensa ya 2022 inaonesha kila kitu mpaka rasillimali zilizopo


Takwimu ni muhimu katika kupata uhalisia wa matumizi ya miundombinu na huduma mbalimbali katika jamii kwa kiwango sahihi na kujua mipango ya baadae kwa ajili ya maendeleo ya taifa kwa ujumla, pia amewasihi wananchi kutoharibu vibao vya anuani za makazi kwani ni muhimu kwa kupata maelekezo ya maeneo mbalimbali.


Aidha, Mhe Majaliwa amesema Mkoa wa Lindi kulingana na Matokeo ya Sensa ya 2022 una jumla ya watu 315,117  idadi hiyo imeongezeka ukilinganisha na matokeo ya sensa ya 2012, hivyo ni muhimu sasa Halmashauri, Wilaya na Mabaraza kwenda kwa kasi kulingana na ongezeko la watu.


#tupovizuri


@nbs.tanzania

@owm_tz

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WANAFUNZI WA NACHINGWEA HIGH NA RUGWA BOYS WAAGWA KWA HAFLA FUPI, WAJIANDAA KWA MITIHANI YA TAIFA

    April 26, 2025
  • SDA NA LIIKE WATOA MAFUNZO YA HUDUMA YA KWANZA KWA MANGALIBA NA WALOMBO KWA AJILI YA KUIMARISHA UTAMADUNI SALAMA

    April 28, 2025
  • DED NACHINGWEA : AAGIZA MIRADI KUKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA KUZINGATIA VIWANGO

    April 09, 2025
  • RC LINDI : MIRADI YOTE ITAKAYOPITIWA NA MWENGE IZINGATIE MATUMIZI BORA YA FEDHA

    April 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.