Kamati ya Mradi wa BOOST kupitia Mratibu wa kamati hiyo Ndg. James Katumbi imeweka msisitizo mkubwa katika swala la ushirikishwaji wa wananchi katika kila hatua ili kuweka uwazi na kufanya miradi hiyo isipelekee migogoro katika jamii. Hayo yamesemwa leo April 3, 2023 kamati hiyo ilipokua katika mikutano ya jamii katika kijiji cha Namkula na Ntila vyilivyopo kata ya Nnero Miembeni na Tunduru ya leo kata ya Nachingwea.
#tupovizuri
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.