• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

DED NACHINGWEA : AWASIHI WAKULIMA WA KOROSHO KUCHANGAMKIA FURSA YA MASHINE ZA UBANGUAJI KOROSHO

Imetumwa : November 13th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Mhandisi Chionda Kawawa, amewataka wabanguaji wa korosho kuchangamkia fursa ya mikopo ya mashine za kubangua korosho inayotolewa kwa udhamini wa NMB Foundation na NMB Bank.

Ameyasema hayo leo novemba 13, 2025 katika kongamano lililofanyika  ukumbi wa Polisi Mess.


Mpango huo unalenga kuboresha na kuongeza thamani ya zao la korosho kwa kuwawezesha wabanguaji wadogo kuachana na mbinu za asili na kutumia teknolojia za kisasa katika shughuli zao.

Mhandisi Kawawa ameeleza kuwa ofisi ya Mkurugenzi itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha vikundi vya wabanguaji vinapata masoko ya uhakika kwa bidhaa zao, sambamba na kuboresha mazingira ya uzalishaji ili bidhaa zinazozalishwa ziwe bora na zenye ushindani mkubwa sokoni.

Aidha, amesisitiza umuhimu wa wabanguaji hao kuwa waaminifu na wabunifu katika matumizi ya mikopo watakayopata ili kuhakikisha inaleta tija kwao binafsi na kwa maendeleo ya wilaya kwa ujumla.

Mhandisi Kawawa pia ameeleza kuwa Wilaya ya Nachingwea inaendelea kufunguka kiuchumi kutokana na fursa mbalimbali ikiwemo uwepo wa madini, hivyo ni muhimu kwa wananchi kujiandaa kunufaika na fursa hizo kwa kuboresha bidhaa na kuongeza thamani ya mazao yao.


Kwa Kupitia ushirikiano kati ya halmashauri, NMB Foundation na wadau wengine wa maendeleo, Nachingwea inaendelea kujipambanua katika uongezaji thamani wa mazao ya kilimo, hususan korosho, ili kuchochea maendeleo endelevu ya kiuchumi kwa wananchi wake.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • DED CHIONDA AWATAKA WAWEKEZAJI WA MGODINI NDITI KUZINGATIA SHERIA ZA NCHI NA HAKI ZA WANANCHI

    November 18, 2025
  • DED NACHINGWEA : AWASIHI WAKULIMA WA KOROSHO KUCHANGAMKIA FURSA YA MASHINE ZA UBANGUAJI KOROSHO

    November 13, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WAASWA KUHUSU RUSHWA

    October 27, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI : WASIMAMIZI WAPENI KIPAUMBELE WENYE MAHITAJI MAALUMU

    October 26, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.