• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

BARAZA LA WAFANYAKAZI LARIDHIA MPANGO MPYA BAJETI 2026/2026, DED CHIONDA ASISITIZA USHIRIKIANO

Imetumwa : February 12th, 2026

Baraza la Wafanyakazi la Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea limefanya mkutano wake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa lengo la kupitia na kujadili kwa kina ajenda mbalimbali zilizopangwa.

Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Mhandisi Chionda A. Kawawa, na umefanyika leo tarehe 11 Februari, 2026 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri. Mkutano huo umewakutanisha wajumbe kutoka idara mbalimbali za Halmashauri, waliopata fursa ya kuchangia hoja na kutoa maoni yao.

Katika mjadala huo, wajumbe walieleza kuridhishwa na mapendekezo ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2026/2027, wakisisitiza umuhimu wa kuendelea kupanga na kutekeleza mipango kwa kuzingatia vipaumbele kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi.


Mhandisi Kawawa amewahimiza watumishi kuendeleza ushirikiano, mshikamano na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku. Amesisitiza kuwa umoja, nidhamu na uwazi ni nguzo muhimu katika kufanikisha malengo ya taasisi na kuleta maendeleo endelevu kwa wananchi.


Aidha, Dokta Samwel Magero, ambae ni Katibu TUGHE Mkoa wa Lindi, amepongeza namna wajumbe wa kikao hicho walivojitokeza kwa wingi  na kuonesha ushirikiano katika kuchangia, pia amewsisitiza wajumbe kuhakikisha yale yote yaliyojadiliwa wanakwenda kuyafanyia kazi hususani katika utekelezaji wa mipango mbalimbali kulingana na bajeti iliyojadiliwa.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MHE. DIWANI ATOA MOTISHA KUENDELEZA UFAULU, ASISITIZA LISHE SHULENI

    February 11, 2026
  • KAMATI YA SIASA MKOA (LINDI) YAFURAHISHWA NA MIRADI YA BILION 3.6 NACHINGWEA

    February 11, 2026
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI LARIDHIA MPANGO MPYA BAJETI 2026/2026, DED CHIONDA ASISITIZA USHIRIKIANO

    February 12, 2026
  • MHE. DIWANI KATA YA STESHENI ATOA MOTISHA KWA WAALIMU SEKONDARI YA STESHENI

    February 05, 2026
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.