• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Madawati ya malalamiko kuanzishwa kila Kata

Imetumwa : December 28th, 2019

Madawati ya malalamiko kuanzishwa kila kata

Kata zimetakiwa kuanzisha madawati ya malalamiko katika maeneo yao ili kuwafikia wananchi na kutatua kero zao kwa wakati na kupunguza malalamiko miongoni mwa jamii.

Kuundwa kwa madawati hayo kutaondoa madukuduku ya muda mrefu waliyo nayo wananchi na kukosa viongozi wa kuwapelekea kwa utatuzi na kupelekea kuwasubiri viongozi ngazi ya wilaya, mkoa au taifa kwa utatuzi.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha  Namikango jana , Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Hashim Komba amewataka  viongozi wa kata baada ya kuunda madawati hayo waandae ratiba na kuisambaza katika katika vijiji ili kuwawezesha wanachi kujitokeza kwa wingi.

“Mwananchi anaweza kuwa na kero yake akienda kwa mtendaji wa kijiji hapati msaada, akienda kwa mtendaji wa kata hapati msaada nap engine watumishi hao hawaishi katika maeneo yao ya kazi, hivyo mwananchi anakata tama na kubaki na dukuduku moyoni mwake madawati hayo yatakuwa ndio suluhisho” Aliongeza mheshimiwa Hashim Komba.

Aidha, amewataka watumishi kuishi katika maeneo yao ya kazi kurahisisha wananchi kuwapata kwa wakati pale wanapohitaji huduma.

Mkuu wa wilaya amekemea tabia ya baadhi ya watumishi wanaogeuza ofisi zao kuwa sehemu ya mapokezi pale wanapopelekewa shida na wananchi kwa kuwaandika barua na kuwaambia waende wilayani.

Mkuu wa wilaya yupo katika ziara ya kikazi yenye lengo la kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi ambapo hadi sasa ameshatembelea kata 17  tangu mwezi Novemba.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Baraza January 22, 2021
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili wa mahojiano September 28, 2020
  • Mwongozo wa Uchaguzingazi za vijiji September 06, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Halmashauri yapitisha mpango na bajeti ya shilingi bilioni 32

    February 20, 2021
  • NAIBU WAZIRI OR TAMISEMI AIPONGEZA SERIKALI KWA UJENZI WA MADARASA

    February 18, 2021
  • Wananchi wa Mitumbati wapongezwa kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari

    January 16, 2021
  • Wananchi watakiwa kutumia mnada wa mifugo kujipatia kipato

    April 26, 2020
  • Angalia zote

Video

Maajabu ya kaburi la mbwa
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mpango wa Bajeti
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya mkoa wa Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.