• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Wananchi watakiwa kutumia mnada wa mifugo kujipatia kipato

Imetumwa : April 26th, 2020

Wananchi wa watakiwa kutumia mnada wa mifugo kujipatia kipato

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mheshimiwa Hashim Komba ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea kwa kuanzisha mnada wa mifugo katika kijiji cha Matekwe

Ametoa pongezi hizo jana wakati akizindua mnada huo ambao  umehusisha wananchi wa maeneo wilaya za Nachingwea, Masasi, Liwale na Tunduru na Nanyumbu.

Ameeleza wananchi wa tarafa ya Kilimarorondo na wilaya ya Nachingwea watanufaika kwa uwepo wa mnada huo kwa kuuza  bidhaa mbalimbali kwa wananchi wanaofika mnadani hapo.

“Ni wilaya chache sana zenye minada nchini, mnada huu utawezesha kupata mapato kwa serikali  ya Kijiji, Halmashaur na serikali kuu, pia watu watatumia fursa ya kuja maeneo haya kupumzika” Ameongeza Mheshimiwa Komba.

Aidha, ameitaka Halmashauri kuboresha miundombinu ya mnada huo wa mifugo kwa kuweka umeme na miundombinu mingine ili mnada huo uwe rafiki kwa wananchi wote.

Pia amewataka wananchi na viongozi wa maeneo hayo kudumisha amani kwani bila amani na utulivu hata shughuli za mnada haziwezi kufanyika vizuri.

Mapema akimkaribisha Mheshimiwa Mkuuwa Wilaya  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Hassan A. Rugwa amewataka wananchi kuchangamkia fursa ya uwepo wa mnada wa mifugo katika eneo hilo kwa kuleta mifugo na bidhaa zingine ili kuweza kujipatia kipato

Ameongeza kuwa ndio mnada pekee wa mifugo katika wilaya za mikoa ya kusini, hivyo amewataka wananchi hao kuwa wavumilivu kwani kila kitu kitakachotakiwa kuwepo katika eneo hilo kitakuwepo ili mnada huo uweze kuwa bora zaidi

mnada huo hadi kukakamilika utagharimu shilingi 5,322,500 na utakuwa unafanyika mara mbili kwa mwezi ambapo utakuwa unafanyika kila tarehe 8 na 24kila mwezi.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Baraza January 22, 2021
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili wa mahojiano September 28, 2020
  • Mwongozo wa Uchaguzingazi za vijiji September 06, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Serikali yalegeza masharti ya mikopo asilimia 10

    February 26, 2021
  • Halmashauri yapitisha mpango na bajeti ya shilingi bilioni 32

    February 20, 2021
  • NAIBU WAZIRI OR TAMISEMI AIPONGEZA SERIKALI KWA UJENZI WA MADARASA

    February 18, 2021
  • Wananchi wa Mitumbati wapongezwa kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari

    January 16, 2021
  • Angalia zote

Video

Maajabu ya kaburi la mbwa
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mpango wa Bajeti
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya mkoa wa Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.