• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Halmashauri yapitisha mpango na bajeti ya shilingi bilioni 32

Imetumwa : February 20th, 2021

Halmashauri yapitisha Bajeti ya Shilingi bilioni 32

Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea imelenga kukusanya na kutumia kiasi cha shilingi 32,197,359,990.78 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kutoka vyanzo mbalimbali.

Akisoma mpango na bajeti hiyo mbele ya Baraza la Madiwani  lilofanyika jana kwenye ukumbi wa halmashauri, Mkuu wa Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji Abdallah Nnunduma amevitaja vyanzo hivyo kuwa ni pamoja na mapato ya ndani ya halmashauri, ruzuku toka serikali kuu, miradi ya maendeleo, ruzuku kwa ajili ya mishahara, mapato kutoka kutoka shule mbalimbali na mapato kutoka huduma za afya.

Katika mpango huo Halmashauri inalenga kukamilisha miradi viporo,  kuelekeza fedha kwenye miradi michache itakayotatua changamoto zilizopo kwa sasa, kukamilisha miradi ambayo inalenga kuongeza wigo wa mapato ya ndani ili kuiongezea halmashauri uwezo wa kujitegemea.

Aidha, Halmashauri inalenga kuimarisha usimamizi na ufauatiliaji wa miradi ya maendekleo na ukusanyaji wa mapato kupitia timu ya ufuatiliaji wa miradi miradi ya wilaya na kikosi cha ufuatiliaji wa ukusanyaji wa mapato ya ndani.

Katika bajeti hiyo halmashauri imepanga kujenga kituo cha afya chenye thamani ya shilingi milioni 400 katika kata ya Mbondo na kukamilisha vituo vya afya vya Naipanga, Ngunichile na Namapwia.

Madiwani wamepongeza mpango huo kwa kuwa unalenga kukabiliana na changamoto mbalimbali kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi.

Matangazo

  • Tangazo la Mkutano wa Baraza January 22, 2021
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili wa mahojiano September 28, 2020
  • Mwongozo wa Uchaguzingazi za vijiji September 06, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Halmashauri yapitisha mpango na bajeti ya shilingi bilioni 32

    February 20, 2021
  • NAIBU WAZIRI OR TAMISEMI AIPONGEZA SERIKALI KWA UJENZI WA MADARASA

    February 18, 2021
  • Wananchi wa Mitumbati wapongezwa kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari

    January 16, 2021
  • Wananchi watakiwa kutumia mnada wa mifugo kujipatia kipato

    April 26, 2020
  • Angalia zote

Video

Maajabu ya kaburi la mbwa
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mpango wa Bajeti
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Tovuti ya mkoa wa Lindi

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.