• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

ZAIDI YA WAGONJWA 4900 WAPATIWA MATIBABU YA MACHO YA KIBINGWA WILAYANI NACHINGWEA

Imetumwa : August 2nd, 2024

Ni kuanzia Julai 29 mpama Julai 31 katika hospital ya wilaya ya nachingwea ambako kambi hiyo ya machona imetoa kutoa matibabu ya huduma za macho za kibingwa bure ambayo imefadhiliwa na Mo Dewji foundation kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya ya Nachingeea.


Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Mohamed Hassan Moyo amewapongeza wananchi wote wa Nachingwea kwa kuchangamkia fursa hiyo kwani matibabu hayo ni ya gharama sana lakini pia ametoa shukurani za dhati kwa uongozi wa Shirika la Mo Dewji Foundation kwa kukubali ombi lake na kuleta huduma Nachingwea.


Kwa upande wake Bi.Amina Ramadhan ambaye ni  Program Coordinator wa Shirika la Mo Dewji Foundation na ndiye Mratibu Mkuu wa kambi hiyo macho ameeleza namna shirika hilo lilivyotoa huduma katika maeneo mbalimbali pamoja mpaka kufika wilaya ya Nachingwea, Madaktari bingwa 30 wa macho kwa kushirikiana na wataalamu wengine 20 kutoka Hospitali ya Nachingwea wameza kutibu wagonjwa zaidi ya 4900 kwa siku zote tatu.


Aidha, Katika ya idadi hiyo ya wagonjwa, 310 kati yao wamefanyiwa upasuaji, wagonjwa zaidi ya  2000 wamepatiwa miwani na wengine wamepatiwa dawa na kuanzishiwa kliniki, pia wananchi mbalimbali wameeleza maoni yao kuhusu huduma zilizotolewa katika ya kambi hiyo ya macho ambapo wengi wameonesha kufurahishwa na huduma hizo wameiomba Mo Dewji Foundation kurudi tena Nachingwea na kuendelea kuwapa huduma watanzania wengine.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 55 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WAJENGEWA UWEZO

    July 03, 2025
  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WATAKIWA KUWA NA NIDHAMU YA FEDHA, MILIONI 649 ZAKOPESHWA AWAMU YA PILI

    July 03, 2025
  • NACHINGWEA YAJIFUNZA MBINU BORA ZA USIMAMIZI WA MIGODI KUTOKA GEITA

    June 27, 2025
  • WATUMISHI LINDI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA USHIRIKI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUJIFUNZA.

    June 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.