• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

WAZIRI MKUU AMEWASHAURI WAKULIMA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA KUNUNULIA MADAWA YA KILIMO KWA MAZAO YAO.

Imetumwa : December 28th, 2017

WAZIRI MKUU AMEWASHAURI WAKULIMA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA  KUNUNULIA MADAWA YA KILIMO KWA MAZAO YAO.

Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amewataka wakulima kutenga fedha kwa ajili ya kununua pembejeo kwa ajili ya kuhudumia mikorosho yao kulingana na mahitaji na idadi ya mikorosho mkulima anayoimiliki.

Ametoa kauli hiyo leo wakati akiongea na wananchi wa Kijiji cha Mpiruka leo alipokuwa akielekea jimboni kwake wilayani Ruangwa kwa ziara ya kikazi na mapumziko ya mwisho wa mwaka

“Mwaka huu serikali imegawa pembejeo kwa wakulima, hazikutosha kwa wananchi mlikata tamaa, Rais amewapa changamoto ili mfufue mikorosho yenu.Kila mtu ajipange kununua madawa kwa ajili ya mikorosho yake kulingana na idadi ya mikorosho aliyonayo.” Mh Majaliwa alisema

Aidha , amewahakikishia wananchi kuwa Serikali imetenga fedha za kutosha ili kuhakikisha kila kijiji nchini kinapata umeme ambapo pia Kijiji cha Mpiruka ni miongoni mwa vijiji  zaidi 30 vitakavyopata umeme kupitia program ya umeme vijijini katika wilaya ya Nachingwea awamu hii .

Akizungumzia suala la upatikanaji wa maji kwa watu wa Kijiji cha Mpiruka amemtaka Meneja wa MANAWASA kupeleka maji kwa watu wa Kijiji cha Mpiruka kwani kero kubwa inayowakabili wananchi wa Kijiji hicho na pia hakipo mbali na Kijiji cha Mkumba ambapo ndio maji yapoishia kwa sasa.

Pia aliwaasa wananchi kutokata miti hovyo na kuharibu vyanzo vya maji,kwa kukata miti hovyo kunasababisha ukame na watu kuhangaika kwa kukosa maji.

Mapema akieleza kero za wananchi wa Jimbo la Nachingwea husani kata ya Mpiruka Mbunge wa Jimbo la Nachingwea Mheshimwa Hassan Masala ameishukuru Serikali kwa kuwapatia wakulima pembejeo  na kuomba msimu wa kilimo ujao pembejeo zifike kwa wakati.

Aidha, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Godfrey Zambi amewataka wananchi kuwataka wananchi kuwapeleka watoto wao shule mapema shule zitakapofunguliwa mwezi Januari na mzazi yeyete ambaye hatampeka mtoto shule kwa maana ya darasa la kwanza na kidato cha awali hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yake.

Pia aliwataka wananchi kupanda miche mipya ya mikorosho na kuondoa ile ya zamani ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo, amesema serikali itagawa miche ya mikorosho bure na uzinduzi Kiwila utafanyika tarehe 06.01.2018 katika viwanja vya Sokoine kupitia Bonaza la wakulima.

Waziri Mkuu yupo kwenye ziara ya kikazi jimboni kwake na mapumziko ya mwishoni mwa mwaka

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 55 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WAJENGEWA UWEZO

    July 03, 2025
  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WATAKIWA KUWA NA NIDHAMU YA FEDHA, MILIONI 649 ZAKOPESHWA AWAMU YA PILI

    July 03, 2025
  • NACHINGWEA YAJIFUNZA MBINU BORA ZA USIMAMIZI WA MIGODI KUTOKA GEITA

    June 27, 2025
  • WATUMISHI LINDI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA USHIRIKI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUJIFUNZA.

    June 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.