Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Nachingwea Mhandisi Chionda A. Kawawa, awashukuru wananchi wa Nachingwea kwa kushirikiana na Halmashauri katika masuala mbalimbali, pia ametoa rai kwa wanaotaka kukoa mikopo ya 10% kuandaa miradi yenye tija kwa mikopo hiyo ina lengo la kuwakwamua kiuchumi Vijana, wanawake na Watu wenye Ulemavu.
Kupitia Bonanza hilo viongozi na wadau mbalimbali wamehamasisha Wananchi wa Nachingwea watakiwa kujitokeza kujiandikisha kuanzia tarehe 11 hadi 20 Oktoba na kupiga kupiga kura siku ya 27 Novemba 2024
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.