Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea kupitia mapato yake ya ndani imeanzisha mradi mkubwa wa ujenzi wa shule maalum ya wavulana kupitia mapato yake ya ndani hasa kupitia mapato ya zao la korosho.
Ujenzi umeanza kwa matumizi ya Tsh Milioni 500 ambayo imeanza na jengo la ofisi ya walimu , madarasa 16, maabara na vyoo.
kazi inaendelea
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.