Hali ya maendeleo ya ujenzi kituo cha Afya kata ya Namatula unaendelea vizuri ambacho kinajengwa kutokana na tozo za miamala ya simu Tsh Milioni 250 . Picha ya Tarehe 11/15/2021