UJENZI WA CHUMBA KIMOJA CHA DARASA SHULE YA SEKONDARI NAMBAMBO
Imetumwa : December 13th, 2021
Ujenzi wa Chumba kimoja cha darasa umekamilika . Mapango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIK-19. Ujenzi wa chumba ulitengewa kiasi cha Tsh 20,000,000