Kwa kuzingatia kanuni za kudumu za Halmashauri za Mwaka 2014, kifungu Na , 12 (2), Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nachingwea anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Nachingwea kuwa tarehe 28/10/2021 kutakuwa na Mkutano wa kawaida wa Braza la Madiwani utakaofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea kuanzia saa 04.00 Asubuhi
Wote mnakaribishwa
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.