Picha na 1, Naibu waziri akizungumza na watumishi
watumishi wakimsikiliza Naibu waziri Mhe. Ndenjembi
Naibu waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Mhe. Deogratius J.P Ndejembi ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea kwa usmimamizi mzuri wa fedha za MKURABITA mbazo zilipelekwa katika kata ya Mbondo kwa ajili ya ujenzi wa masjala mbili za ardhi katika kijiji Nakalonji na Mbondo yenyewe
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.