Leo April 4, 2023 Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea Bi. Misoji Sahani amewambia wananchi wa kikiji cha Chiwindi kilichopo katika kata ya Chiumbati kuwa Shule ya Msingi Chiwindi imepelekewa mradi wa madarasa 2 ya awali ya mfano yenye thamani ya Shilingi 66.3. Bi. Misoji ameyasema hayo alipokua katika mkutano wa kjjiji hicho na kamati ya mradi wa BOOST.
Aidha, wanakamati wa mradi huo wamewapongeza wakazi wa kjjiji hicho kwa kuwa wa kwanza sambamba na Shule ya Msingi Kiegei kupata madarasa hayo.
#tupovizuri
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.