Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dokta Grace Magembe akiambatana na wataalamu kutoka Wizara hiyo na Mkoani Lindi amefanya ziara katika Wilaya ya Nachingwea ya kutembelea hospitali ya Wilaya hiyo pamoja na eneo la mradi wa chuo cha uuguzi. Ziara hiyo imefanyika March 13, 2024.
Naibu Katibu Mkuu huyo amesema mpaka kufikia March 15, 2024 Mkurugenzi wa Mipango na fedha na timu yake kutoka wizarani watakuja kuangalia mradi huo. Mpaka kufikia September 2024 chuo kinatakiwa kiwe tayari kutumika.
#tupovizuri
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.