Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainabu Teleck ameagiza kuanza kwa taratibu za kusajili kituo shikizi cha Chiwangala kata ya Mnero miembeni wilayani Nachingwea. Mhe . Teleck ameyasema hayo alipokuwa ziara ya wilayani Nachingwea ya kukagua na kupokea madarasa 69 ambayo yamejengwa kwa mpango wa maendeleo na ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO-19
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.