Mkurugenzi Mtendaji Mhandisi Chionda A. Kawawa amemwagiza Kaimu Mhandisi wa wilaya Bi Sahani Misoji kuanza ujenzi wa Vibanda vya Mama lishe . Vibanda hivyo da hivyo vitagharimu kiasi cha Sh Milioni 8. Kupitia vibanda hivyo itawezesha Mama Lishe kutoa kuuza chakula chao katika mazingira rafiki na salama.
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.