• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

MKANDARASI AKABIDHIWA RASMI ENEO (SITE) LA UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA HALMASHAURI

Imetumwa : April 5th, 2023

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea Mhe. Adinani Mpyagila amemkabidhi rasmi eneo la ujenzi (Site ) mkandarasi ambaye ni Corporation Sole Works Superintendent (Vikosi vya ujenzi ) iliyo chini ya wizara ya ujenzi Leo April 5, 2023 .


Mhe. Mpyagila , wakati akikabidhi  eneo hilo ameitaka kampuni ya ujenzi kuhakikisha ujenzi unazingatia viwango na muda uliowekwa kwa mujibu wa mkataba wa ujenzi unavyyosema .


" Tunatamani kuona ujenzi wa ofisi hii unakamilika ndani ya miaka miwili " Mhe. Mpyagila .


Aidha, amewasihii wananchi kutambua eneo la ujenzi wa ofisi hiyo ambalo lipo kata ya Nangowe umetokana na mchakato wa vikao kadhaa vilivyoshirikisha waheshimiwa madiwani na ushauri kutoka kwa wataalamu , hivyo eneo hilo limekidhi vigezo vyote hasa ukubwa .


Kwa upande wake Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Longnus Nambole amemshukuru Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha nyingi ndani ya Wilaya zikiwemo za ujenzi wa ofisi hiyo ya Halmashauri ambapo awamu ya kwanza zaidi ya Bil 1 zimeletwa. Ametoa wito kwa mkandarasi Kujenga kwa kuzingatia ubora unaohitajika.


Naye Katibu wa mbunge Ndugu George Martin kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Nachingwea Mhe. Amandus Chinguile , amesema wananchi wanatamani kuona jengo linakamilika ili liweze kutumika kwa wakati hivyo Kama mkandarasi atapata changamoto yoyote asisite kuiona ofisi ya Mbunge kwa utatuzi wa changamoto kwa wakati .

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 55 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WAJENGEWA UWEZO

    July 03, 2025
  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WATAKIWA KUWA NA NIDHAMU YA FEDHA, MILIONI 649 ZAKOPESHWA AWAMU YA PILI

    July 03, 2025
  • NACHINGWEA YAJIFUNZA MBINU BORA ZA USIMAMIZI WA MIGODI KUTOKA GEITA

    June 27, 2025
  • WATUMISHI LINDI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA USHIRIKI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUJIFUNZA.

    June 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.