Mwenge wa Uhuru ukiongozwa na Ndugu Sahili Nyanzabara Gararuma umepitia miradi Saba (7) yenye Thamani ya Bil 1.3 ambayo ni :
1. Mradi wa Madarasa 2 na Ofisi moja Shule ya Msingi Rupota,
2.Mradi wa Kiwanda cha uchakataji wa Taka Ngumu ,
3. Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Mafuta Angelica Petrol Station
4. Mradi wa Barabara ya lami kuzunguka Soko Kyu,
5. Mradi wa Wodi ya Grade One Hospitali ya Wilaya
6.Ujenzi wa Kituo cha Afya Nambambo
7. Ujenzi wa Madarasa 4 Shule ya Secondari Stesheni.
Miradi hiyo iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru yenye Jumla ya Tsh 1,300,968,675 zimetokana na Tsh 199,872,795 Mapato ya ndani ya Halmashauri, The 899,790,900 fedha toka serikali kuu 15,898, 500 michango ya wananchi na Tsh 185,406,480 kutoka kwa Wadau wa maendeleo .
Mwenge umepongeza na kutoa mapendekezo ya uboreshaji kwa lengo la kufanikisha miradi ya maendeleo kiufanisi na kuzingatia viwango sahihi na wakati
Aidha, Kaimu Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mhe. Shaibu Ndemanga ameshukuru kwa pongezi na kuahidi kuzifanyia kazi changamoto zote zilizojitokeza na kuyafanyia kazi maagizo yote.Edited ·
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.