Mratibu wa Mradi wa BOOST Ndg. James Katumbi leo April 3, 2023 amewaambia wananchi katika utekelezaji wa mradi wa BOOST kila eneo ambalo watanufaika na mradi huo, wakazi watakaoteuliwa kuwa sehemu ya kamazti zitakazo simamia ujenzi wanatakiwa kutambua kwamba hakutokua na malipo bali ni kazi ya kujitolea. Hayo ameyasema alipokua katika mikutano ya jamii katika kijiji cha Namkula na Ntila vilivyopo kata ya Nnero Miembeni na Tunduru ya leo kata ya Nachingwea.
#tupovizuri
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.