Mkuu wa wilaya Nachingwea Mhe. Mohamed Hassan Moyo amemuagiza Mkuu wa Idara ya kilimo Wilayani humo kuhakikisha wanakua na kazi data ili kuwaondolea usumbufu wananchi kuandikishwa kila mwaka.
Mhe. Moyo ameyasema hayo May 3, 2023 alipokua kwenye ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwenye kijiji cha Ntila kata ya Mnero Ngongo wilayani Nachingwea.
Aidha, Mhe. Moyo amemtaka Afisa kilimo wilaya kuhakikisha dawa za kupuliza mikorosho zinapatikana kwa wakati ili kuendana na muda sahihi wa kupuliza
#tupovizuri
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.