Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imemkabidhi Mkuu wa Mkoa Mhe Zainab Telack vyumba 69 vya madarasa ambavyo 57 madarasa ya sekondari na 12 ya vituo shikizi . Katika hafla hiyo Mhe Telack alieleza kwa Mkoa wa Lindi jumla ya madarasa 401 yamejengwa katika mpango wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO-19
PICHA: Baadhi ya picha ya vyumba vya madarasa ambavyo vimekabidhiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.