Matukio katika Bonanza la Nachingwea ya Amani na Maendeleo linaoendelea leo Jumamosi ya 5 Oktoba 2024, wananchi wa Nachingwea wamehamasika na kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Bonanza hilo.
"Nachingwea ya Amani na Maendeleo, Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.