• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

DC MOYO AWAPONGEZA JKT KWA MIAKA 60 YA KULIJENGA TAIFA

Imetumwa : July 8th, 2023

June 2, 2023 wilayani Nachingwea shughuli za maadhimisho ya miaka 60 ya JKT zilianzishwa na kutamatika leo July 7,2023 katika viwanja vya stendi ndogo ya mabasi yaendayo Liwale  huku mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Mohamed Hassan Moyo. Mh Moyo amewashukuru Jeshi la Kujenga Taifa kwa kumualika kuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo za Kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo na amewapongeza kwa kutimiza miaka 60.

Mhe Moyo amesema taifa limenufaika kupitia Jeshi la Kujenga Taifa na limekua sehemu muhimu ya kufundisha na kuandaa vijana katika utii, uadilifu, uzalendo, ukakamavu pamoja na kufanya kazi kwa bidii na kuipenda nchi yao. Kwa upande wake Mkuu wa vyombo vya Usalama wilaya ya Nachingwea Kanali Sylvesta Ndayahundya Kipeya amesema katika shughuli hizo kama jeshi lilifanya shughuli za kijamii kama vile kufanya usafi Hospitali ya wilaya, Uchangiaji damu pamoja na ujenzi wa banda la kupumzikia abiria chenye thamani ya Sh 4,790,000/= katika stendi ndogo ya mabasi yaendayo Liwale (Maegesho ya Malori).

Aidha, wananchi mbalimbali waliojitokeza katika sherehe hizo wamelipongeza Jeshi la kujenga  Taifa na Serikali kwa kufanikisha ujenzi wabanda la kupumzikia abiria katika stendi ndogo ya mabasi yaendayo Liwale na kuomba liongwezwe linguine sambamba na vyoo.


Sherehe hizi za maadhimisho kitaifa zitafanyika Makao makuu ya nchi Mkoani Dodoma ambako yalianza June 3, 2023 na yatamatika July 10, 2023 katika Viwanja vya Jamhuri Dodoma huku Mgeni rasmi atakuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassani.


#tupovizuri

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 55 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WAJENGEWA UWEZO

    July 03, 2025
  • WANUFAIKA WA MIKOPO YA 10% WATAKIWA KUWA NA NIDHAMU YA FEDHA, MILIONI 649 ZAKOPESHWA AWAMU YA PILI

    July 03, 2025
  • NACHINGWEA YAJIFUNZA MBINU BORA ZA USIMAMIZI WA MIGODI KUTOKA GEITA

    June 27, 2025
  • WATUMISHI LINDI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA USHIRIKI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KUJIFUNZA.

    June 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.