Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea anawajulisha kuwa usaili wa Kazi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III utafanyika tarehe 18-19/2018 saa mbili (2:00) kamili asubuhi kama inavyoonekana kwenye tangazo lililoambatanishwa na maelezo haya kuitwa kwenye usaili.pdf
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.