Kamati ya fedha, uongozi na mipango ikiongozwa na Mhe. Adinani Mpyagila ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri imefanya ziara April 27, 2023 ya kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mawili.
Eneo lakwanza, Shule ya Msingi Matangini ambapo madarasa Matatu yanajengwa kwa thamani ya Tsh Milioni 71 . Fedha kutoka ufadhili wa TEA.
Eneo la pili, Ujenzi wa mabweni Matatu na madarasa matano yenye thamani ya Tsh Milioni 400. Fedha kutoka Serikali kuu
Na ukamilishaji wa Maabara kwa kiasi Cha Tsh Milioni 30 .
#Kaziinaendelea
*#tukovizuri*
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.