Wananchi wa kijiji cha Chiwindi kilichopo kata ya Chiumbati, Mchangani kata ya Sitesheni na Kaloleni kata ya Tunduru ya Leo wametoa shukrani zao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea mradi wa BOOST wenye kiasi cha fedha Shilingi Milion 931.5 ambazo zimeelekezwa katika Kata sita na vijiji nane kwa ajili kuboresha miundo mbinu ya kufundishia na kujifunzia. Hayo yamesemwa leo April 4, 2023
#tupovizuri
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.