Chama kikuu cha ushirika RUNALI, kinachohudumia wilaya za Liwale, Nachingwea na Ruangwa, leo tarehe 20 Oktoba kimeendesha mnada wa pili wa zao la korosho uliofanyika katika kijiji cha Likunja wilayani Ruangwa. Katika mnada huo, bei ya juu shilingi 3480 kwa kilo, huku bei ya chini ikiwa shilingi 3,290, na jumla ya tani 14794 zilizouzwa.
#Tupovizuri
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.