• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

WAKULIMA CHAMA KIKUU RUNALI WAMEUZA MBAAZI KWA BEI YA JUU SH 1880 NA BEI YA CHINI 1840

Imetumwa : August 21st, 2024

WAKULIMA CHAMA KIKUU RUNALI WAMEUZA MBAAZI KWA BEI YA JUU SH 1880 NA BEI YA CHINI 1840.


Mnada wa pili umefanyika  Agosti 21, 2024 ofisi kuu ya Chama Kikuu cha Ushirika Runali.Wakulima wamekubali kuuza mbaazi tani 2334 kwa bei ya juu sh 1880 na bei ya chini 1840.

Mgeni rasmi Mohamed Likoko Makamu Mwenyekiti wa halmashauri ya Liwale amewataka wananunuzi,vyama vya ushirika na mabenki kuharakisha mapema fedha za wakulima.Pia,amesema fedha hizi wazitumie vizuri,kuboresha maisha  yao.


Aidha  ndg Emanuel Wilbard Afisa Masoko chama kikuu cha Ushirika amesema mbaazi nizao mbalo alichelewi kuingiliwa na wadudu,wamefanya hivyo ili waweze kuuza mbaazi zikiwa kwenye ubora.Amewatoa shaka wakulima waliouza mnada wa jumapili watapata kutokana na bei zilizojitokeza jumapili na waleo pia.


Wakulima nao wamekubali kuuza bei hizi kwa mkulima nzuri wameomba zishuke ili waweze kupata Pesa za kuboresha maisha yao nawaomba Runali kuwaletea mbegu bora za mbaazi.


#Tupovizuri.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MWENGE WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 2.2 CHANGAMOTO ZA MAJI,AFYA ZA MALIZWA WANANCHI WAFURAHIA NISHATI SAFI

    May 29, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU KWA AWAMU YA PILI

    May 13, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI NACHINGWEA

    May 29, 2025
  • RUNALI YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU WA UFUTA NA MBAAZI KWA MSINGI WA UBORA NA UWAJIBIKAJI

    May 28, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.