Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Kanali Ahmed Abasi akimuakilisha Waziri wa TAMISEMI Mhe. Angella kairuki, amewataka wataalamu wa Elimu pamoja na Viongozi mbalimbali wakiwemo wakisiasa kuwahamasisha wazazi na walezi kuthamini kazi ya walimu kwa vitendo kwa kushirikiana katika malezi ya watoto wawapo shuleni na Nyumbani kwani Serikali inayoongozwa na Mhe. Rais Dakt Samia Suluhu Hassan, imeleta fedha nyingi ya uboreshaji wa Elimu Mkoa wa Lindi ili watoto wapate elimu katika mazingira bora..
Hayo, yamesemwa katika kikao kilichowakutanisha wadau wa Elimu Mkoa wa Lindi wakiwemo Viongozi wa kisiasa , maafisa Elimu na waratibu Elimu kata lichofanyika Nyangao Januari, 2023 .
Mhe. Abbasi, ameyumia fursa hiyo kueleza jukumu la kulea watoto wakiwa shuleni na Nyumbani ni la wote Kati ya wazazi na walimu kwani Bila ushirikiano hali ya faulu kwa wanafunzi inaweza isipande km ambavyo malengo yanavyowekwa. Hivyo wazazi na walezi watambue Thamani ya mchango wa waalimu .
#Tupovizuri
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.