Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imezawadiwa cheti na Ofisi ya Rais TAMISEMI kama pongezi kwa kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba 2024, cheti hicho kimetolewa kwa kuzingatia kigezo cha wizara, Key Performance Indicator (KPI).
Cheti hicho kimetolewa Juni 20, 2025 na Naibu katibu Mkuu Tamisemi anayesimamia Elimu A.W. Mwambene ambaye aligawa tuzo hizo kwa niaba ya Waziri wa OR-TAMISEMI Mhezhimiwa Mohamed Mchengerwa.
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.