• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

NACHINGWEA YAPATA ZAIDI YA MIFUKO 59,000 YA SALFA NA LITA 75,000 ZA VIUATILIFU MGAO WA MSIMU 2025

Imetumwa : June 6th, 2025


Tarehe 6 Juni 2025, Mohamed Kaidi  Afisa Kilimo kutoka Bodi ya Korosho Makao Makuu Mtwara , ameshiriki mahojiano maalum katika kipindi cha Amka na 90.9 kupitia Kituo cha Redio Nachingwea FM.


Katika mahojiano hayo, ameeleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Bodi ya Korosho kuhakikisha wakulima wanapata pembejeo kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa. Ametaja kuwa tayari wameajiri maafisa ugani 500 nchini kote, huku lengo likiwa kufikia 1,000. Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imeongoza kwa Mkoa wa Lindi kwa kupata maafisa ugani 41.


Ametoa wito kwa wakulima wote kusajili mikorosho yao, ikijumuisha hata ile michanga, kwa lengo la kuongeza ufanisi wa usimamizi wa zao hilo. Aidha, ameonya kuhusu udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wakulima au viongozi, akisisitiza kuwa ukaguzi unaendelea na hatua kali zitachukuliwa kwa watakaobainika. Amesisitiza umuhimu wa wakulima kutoa taarifa sahihi kwa wakati.


Kuhusu matumizi ya viuatilifu, Afisa huyo amekemea vikali tabia ya kuchanganya dawa bila maelekezo ya kitaalamu, akieleza kuwa ni hatari kwa afya, mazingira na mazao.


Kwa msimu huu wa kilimo, Bodi ya Korosho imepanga kusambaza tani 40,000 za salfa (sulphur) pamoja na lita milioni 3.8 za dawa na viuatilifu kote nchini. Hadi sasa, Wilaya ya Nachingwea imeshapokea zaidi ya Mifuko elfu 59 za salfa na lita 75,000 za viuatilifu , salfa zaidi ya asilimia 60 ya mgao wake.


Ametambua kuwa changamoto ya upatikanaji wa viuatilifu ilisababishwa na ongezeko la mahitaji kutoka kwa mazao mbalimbali, lakini kwa sasa vimeshawasili na vinaendelea kukaguliwa kabla ya kuwafikia wakulima. Ameeleza kwa kuridhika kuwa mwaka huu pembejeo zimewafikia wakulima kwa wakati.


Aidha, amefafanua kuwa asilimia 90 ya pembejeo za maji tayari zimeshawasili katika ghala kuu la Mtwara, na kuanzia wiki ijayo, usambazaji rasmi kwa AMCOS zote utaanza, kuhakikisha kila mkulima aliyebaki anazipata kwa wakati.


Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • NACHINGWEA YAPATA ZAIDI YA MIFUKO 59,000 YA SALFA NA LITA 75,000 ZA VIUATILIFU MGAO WA MSIMU 2025

    June 06, 2025
  • MKAKATI WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA RUPONDA WAANZA

    June 05, 2025
  • BILIONI 2.8 ZABORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU NACHIGWEA

    June 04, 2025
  • WAZAZI WAMETAKIWA KUWEKEZA NGUVU SAWA KATIKA MALEZI YA WATOTO WA KIKE NA KIUME

    June 04, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.