• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

NACHINGWEA YA MADINI KUCHOCHEA FURSA ZA UWEKEZAJI

Imetumwa : January 15th, 2026

Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imeeleza fursa zinazopatikana kutokana na uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali katika sekta ya madini ambapo kutaongeza chachu na muamko kwa wadau na wananchi kuwekeza katika sekta hiyo ambayo kuna fursa ya moja kwa moja inayowawezesha wawekezaji kupata leseni za kuchimba madini, kuchafanya biashara ya madini, fursa ya uchakataji na viwanda, fursa ya ushirika na biashara ndogondogo pamoja na fursa ya kuongeza thamani na utalii.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri a Nachingwea Mhandisi Chionda M. Kwawa amewasihi Wadau na Mashirika mbalimbali kuangalia fursa na kuwekeza Wikayaninhumo, pia amesema "Nachingwea ya Madini itakua tofauti na  kuwataka Watumishi pamoja na Wananchi kuitumia fursa hiyo vizuri, uchumi wa Nachingwea utakua na pato la Halmashauri litaongezeka".

Akizungumza na mwandishi wetu, Ndugu Azizi Katuli Kaimu Mkuu idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji amesema kuwa fursa hizo zina manufaa makubwa sana kwani huwezesha kutoa ajira za moja kwa moja kwa wananchi kama vile uchimbaji, usafirishaji na ulinzi, kuwawezesha wachimbaji wadogo kupata leseni, kuongeza mapato ya serikali (kodi na michango).


Ndugu Katuli alisema, "Shughuli za kiuchumi na Kijamii zitakua na kubadilika hatutakuwa kama hivi tulivyo kwani fursa hii ya uwekezaji itafanya kuwe na ongezeko la watu na itapelekea wananchi kukuza biashara zao na kuleta mabadiliko chanya ya ujenzi wa miundombinu na huduma za kijamii".


Aidha, Ndugu Katuli ameeleza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imeweka mikakati ya kuongeza uhamasishaji kwa wananchi na ujenzi wa ujuzi katika sekta ya madini kupitia platifomu mbalimbali, kutoa mikopo ya asilimia kumi kwa vikundi kwa kutumia mapato ya ndani, kushirikiana na wadau kufanya maonyesho ya madini ili kuhakikisha wananchi wanapata manufaa yatokanayo na uwekezaji huo na kuleta maendeleo chanya katika jamii.


Ndugu Jonathan Kanji ambae ni mkazi na mjasiriamali wa Wilaya ya Nachingwea ametoa rai kwa wananchi na wafanyabiashara waweze kuchangamkia fursa hizo ili kuongeza maendeleo ya uchumi kwa maeneo wanaoishi huku akiwataka kuondokana na dhana potofu ya kwamba uwekezaji kwenye sekta ya madini hufanywa na watu kutoka nje ya nchi au wenye vipato vikubwa.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • NACHINGWEA YA MADINI KUCHOCHEA FURSA ZA UWEKEZAJI

    January 15, 2026
  • HOSPITALI YA NACHINGWEA YAFUNGA KIFAA MAALUMU CHA KUJIKINGA DHIDI YA RADI.

    January 20, 2026
  • WANANCHI WA NACHINGWEA WAFURAHIA URAHISI WA MATIBABU UNAOSABABISHWA NA MAABARA YA KISASA

    January 14, 2026
  • DC MOYO AWATAKA MADIWANI KUWA KICHOCHEO CHA MAENDELEO.

    January 08, 2026
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.