• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

MWENGE WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 2.2 CHANGAMOTO ZA MAJI,AFYA ZA MALIZWA WANANCHI WAFURAHIA NISHATI SAFI

Imetumwa : May 29th, 2025

Mwenge wa Uhuru 2025 ukiongozwa na Mkimbiza Mwenge kitaifa ndugu Ismail Ali Ussi umemulika na kuleta matumaini Nachingwe Mei 29, 2025.


Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la Msingi katika Mradi wa ujenzi wa Shule ya sekondari ya Kata ya Chiumbati shuleni iliyopo katika Kijiji cha Luagala wenye thamani ya Milioni 560, Shule hii imeleta tumaini jipya na kutatua kazia ya muda mrefu ya kutokua na Shule katika kata hiyo kwani hapo awali wanafunzi walilazimika kutembe umbali usiopongua Kilomita 5 hadi 7 kufuata shule ya Sekondari.


Kwa upande mwingine kwa kuzingatia usalama wa raia na mali zao jeshi la Polisi lilianzisha mradi wa kituo kidogo cha Polisi cha kata hiyo chenye thamni ya Shilingi milio 81.1 ambacho kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa ameonesha kufurahishwa na ubora wa mradi huo na kukubali kuweka jiwe la Msingi, kituo hicho kipo katika hatua za mwisho kabisa ili kianze kutumika kwani kimekamilika kwa zaidi ya 90%.


Katika kuendelea kuwaletea maendeleo wananchi Serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Daktari Samia Suluhu Hassan imetatua kero kubwa ya maji iliyodumu kwa zaidi ya miaka kumi (10) katika Kata ya Raha leo, Naipanga na  Chiumbati shuleni kwa kujenga mradi wenye thamani ya Shilingi 1,187,000,000 unaofahamika kama Mradi wa Maji Naipanga wenye ujazo wa lita 300,000 ambao Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa ndugu Ussi ameuzindua, mradi huu unahudumia zaidi ya wakazi 12,999 katika vijiji vya Naipanga,Chiumbati Shuleni, Chiwindi, Tandika, Luagala, Rahaleo, Maendeleo, Kilombero, Nagaga, Joshoni, na Chekeleni


Mwenge wa Uhuru umekata kiu ya muda mrefu ya wakazi wa kijiji cha Naipingo kwa kuweka jiwe la Msingi katika Zahanati mpya ya kijiji hicho yenye thamani ya Shilingi milioni 50 za mapato ya ndani, wananchi wa Naipingo wamekua na hamu kubwa ya kupata huduma za afya katika eneo lao kwani wamekua wakilazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya.


Pia,umeweka Jiwe la Msingi katika ujenzi wa barabara ya KKT-Hospitali ya kiwango cha lami yenye urefu wa km 0.5 na thamani ya Shilingi milion 356, pia umetembelea na kuona shughuliza utengenezaji wa samani unaofanywa na kikundi cha vijana kinachofahamika kama UWASO ambacho kilikopa Sh Mil 50.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MWENGE WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 2.2 CHANGAMOTO ZA MAJI,AFYA ZA MALIZWA WANANCHI WAFURAHIA NISHATI SAFI

    May 29, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU KWA AWAMU YA PILI

    May 13, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI NACHINGWEA

    May 29, 2025
  • RUNALI YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU WA UFUTA NA MBAAZI KWA MSINGI WA UBORA NA UWAJIBIKAJI

    May 28, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.