• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUONGEZA UFANISI KATIKA UTENDAJI WA KAZI

Imetumwa : January 18th, 2022

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mhe Hashim A. Komba amewataka watumishi wa umma kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi. 

Mhe. Komba ameyaeleza hayo alipokuwa anazungumza na wakuu wa idara na vitengo katika uwasilishaji wa Taarifa za utendaji kazi kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kwa kipindi cha Julai-Disemba 2021. Katika kikao hicho Mhe. Komba ametoa maelekezo kadhaa katika kuongeza ufanisi wa kazi yakiwemo kudumisha mahusiano katika kazi, kuboresha na kuongeza kasi ya usamabazaji wa huduma kwa wananchi kama vile huduma ya Maji na Umeme, kuongeza ubunifu katika kusimamia na kutatua changamoto za wananchi, kubuni vyanzo vya mapato ambavyo vitaiongezea mapato  Halmashauri kwa kiasi kikubwa na kudumisha mahusiano mazuri kwa wananchi wakati wa kutoa huduma.

Aidha, amewasihi sana watumishi kuendelea kuyafanyia kazi yote ambayo yamejadiliwa kwa maslahi mapana ya halmashauri 

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA ANWANI YA MAKAZI March 15, 2022
  • TANGAZO LA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI MAY 11, 2022 May 07, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MIRADI SABA (7)YENYE THAMANI YA BIL 1.3 YAPITIWA NA MWENGE WA UHURU NACHINGWEA

    April 28, 2022
  • MKUU WA WILAYA YA NACHINGWEA AZINDUA MPANGO WA ANUANI YA MAKAZI

    February 17, 2022
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA MAKSIO YA BAJETI YA BILIONI 33.8 YA MWAKA 2022/2022

    January 27, 2022
  • FURSA YA KILIMO CHA ZAO LA ALIZETI NACHINGWEA

    January 26, 2022
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AKIZUNDUA MRADI WA MAJI NAMIKANGO
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.