• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

Makarani wa vyama vya msingi watakiwa kufanya kazi zao kwa weledi

Imetumwa : March 1st, 2018

Makarani watakiwa kufanya kazi kwa weledi

 

Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mheshimiwa Rukia Muwango amewaonya makarani wa vyama vya Msingi kuacha tabia ya kuwahujumu wakulima wa korosho katika maeneo wanayofanyia kazi.

Ameyasema hayo wakati akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi iliyokutana jana kujadili utekelezaji wa Utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa kipindi cha kuanzia Julai hadi Disemba 2017.

“Siko tayari tayari kuona mtu anadidimiza juhudi za mkulima hasa mkulima wa korosho ,baadhi ya makarani wanarubuniwa na baadhi ya wajumbe wa bodi kuhuwahujumu wakulima” Alisema Mheshimiwa Muwango

Aliongeza kuwa wapo baadhi ya makarani wanaandika stakabadhi kwa majina ya ndugu zao, ili kuineemesha wao kitu ambacho hakikubaliki kwa kuwa kina lengo la kumdidimiza mkulima.

Mkuu wa wilaya amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya baadhi ya wajumbe kulalamika kuwa baadhi ya wakulima kutoka  maeneo yao kutolipwa fedha za mauzo ya korosho kwa msimu wa huu wa mwaka 2017/2018.

Akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya malamiko yaliyotolewa na wajumbe hao, Afisa Ushirika wilaya ndugu Lameck Chotta amedai wakulima wengi wamelipwa fedha zao, kwa wale wachache ambao hawajalipwa jitihada zinaendelea kuhakikisha kuwa wakulima wote wanalipwa. Baadhi ya viongozi wamefikishwa polisi  kwa kwa taratibu za kisheria na wameanza kulipa fedha hizo.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MWENGE WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 2.2 CHANGAMOTO ZA MAJI,AFYA ZA MALIZWA WANANCHI WAFURAHIA NISHATI SAFI

    May 29, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU KWA AWAMU YA PILI

    May 13, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA LAMI NACHINGWEA

    May 29, 2025
  • RUNALI YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU WA UFUTA NA MBAAZI KWA MSINGI WA UBORA NA UWAJIBIKAJI

    May 28, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.