• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

HALMASHAURI YA NACHINGWEA YAFUNGA MASHINE YA URUTUBISHAJI

Imetumwa : September 22nd, 2024

 Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea imeweka historia kwa kufunga mashine za virutubishi, ikiwa ni hatua ya kwanza katika kuboresha huduma za afya na lishe katika wilayani Nachingwea.


Mashine hizo zinatumia kilo moja ya virutubishi kwa tani mbili za unga, zitasaidia kuboresha usambazaji wa chakula na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma za lishe, Mashine imefungwa katika kituo cha Al-qasmi Milling Machine iliyopo Kata ya Nangowe kijiji cha Matangini kitongoji cha Liwale B.


Akizungumza kuhusu mradi huu, Afisa Lishe  Bi. Subira Omary Kambwili  alieleza umuhimu wa mashine hizo katika kupunguza udumavu na kuhakikisha tunakua na afya bora asa kwa watoto, "hii ni hatua muhimu katika kuboresha afya na kupunguza ongezeko la watoto njiti" kwa Wilaya ya Nachingwea mashine imefungwa sehemu moja tu kwa kuanzia na baadae tutafunga na sehemu nyingine,".


Kwa upande wake Meneja Maendeleo na Biashara kutoka Sanku bwana Alpha Akimu, amesema kazi yao kubwa ni kuongeza virutubisho kwenye unga wa dona na sembe na wamekuja wilaya ya Nachingwea  kufunga mashine moja kati ya mashine tatu zitakazofungwa Nachingwea katika mpango wa kutomeza udumavu na kuboresha lishe, Mashine hizo zimethibitishwa na shirika la viwango Tanzania TBS kuwa zitasaidia wananchi kuboresha afya zao na wafanya biashara kuongeza thamani ya unga wao..


Mfanya kazi katika kituo cha Al-qasi amesema "kwetu limekua ni jambo la furaha kuingia kwenye historia ya kuwa ofisi yetu imekua ya kwanza kufungwa mashine hiyo na tunawakaribisha wateja kuja kupata huduma na bei zetu ni zuri na tupo tayari kuwahudumia".


Akimywakilisha Mwenyekiti wa Kitongoji cha Liwale B bwana Justan Mpinga amekiri kuwa jamii ilikuwa na matumaini makubwa na mradi huu na kwamba Mashine hiyo itasaidia kuboresha maisha afya katika jamii.

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WANAFUNZI WA NACHINGWEA HIGH NA RUGWA BOYS WAAGWA KWA HAFLA FUPI, WAJIANDAA KWA MITIHANI YA TAIFA

    April 26, 2025
  • SDA NA LIIKE WATOA MAFUNZO YA HUDUMA YA KWANZA KWA MANGALIBA NA WALOMBO KWA AJILI YA KUIMARISHA UTAMADUNI SALAMA

    April 28, 2025
  • DED NACHINGWEA : AAGIZA MIRADI KUKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA KUZINGATIA VIWANGO

    April 09, 2025
  • RC LINDI : MIRADI YOTE ITAKAYOPITIWA NA MWENGE IZINGATIE MATUMIZI BORA YA FEDHA

    April 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.