• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

DC MOYO AWATAKA MAAFISA UGANI KUSIMAMIA MAJUKUMU YAO IPASAVYO ILI KULETA TIJA NA KUONGEZA UZALISHAJI

Imetumwa : June 9th, 2025


Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Mohamed Hassan Moyo, amewataka maafisa ugani kusimamia ipasavyo majukumu yao ili kuongeza tija na uzalishaji wa mazao kwa kutumia pembejeo na viuatilifu vinavyotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.


Maelekezo hayo yametolewa leo Juni 9, 2025 katika kikao kazi kilichowakutanisha maafisa ugani, watendaji wa kata na meneja wa AMCOS, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea.

Mkuu wa Wilaya amesema matarajio ni kuona ongezeko la uzalishaji kutokana na upatikanaji wa pembejeo kwa wakati na kwa kiwango cha kutosha.


Aidha, amewapongeza watendaji wa kata na mameneja wa AMCOS kwa ushiriki wao mzuri katika Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025, akisema hatua hiyo ni ishara ya mshikamano na uwajibikaji.


#Tupovizuri

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • DC MOYO AWATAKA MAAFISA UGANI KUSIMAMIA MAJUKUMU YAO IPASAVYO ILI KULETA TIJA NA KUONGEZA UZALISHAJI

    June 09, 2025
  • DC MOYO AFUNGUA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA 2025, ATOA WITO KWA VIJANA KUWA WAZALENDO

    June 05, 2025
  • NACHINGWEA YAPATA ZAIDI YA MIFUKO 59,000 YA SALFA NA LITA 75,000 ZA VIUATILIFU MGAO WA MSIMU 2025

    June 06, 2025
  • MKAKATI WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA RUPONDA WAANZA

    June 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.