Dc Moyo anawahamasisha Wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye Kongamano la Wanawake Kanda ya Kusini March 6 2025,Viwanja vya Maegesho ya Malori Nachingwea Saa 2:00 Asubuhi.
Mada ya Kongamano ni Ushiriki na mchango katika kukuza maadili,Uzalishaji na kuongeza Mnyororo wa thamani wa Mazao
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.