• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua za Watumishi |
    • Malalamiko/mrejesho |
Nachingwea District Council
Nachingwea District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na dhima
    • Mikakati
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii Vijana na Ustawi wa Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Manunuzi na Ugavi
      • Mkaguzi wa ndani
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Ugani
  • Madiwanii
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Ujenzi uchumi na mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari

BIL. 119 KUPELEKA MAJI KATIKA VIJIJI 57 YA NACHINGWEA, RUANGWA NA LINDI

Imetumwa : July 22nd, 2023

Leo July 22, 2023 Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Mhe. Mohamed Hassan Moyo akiambatana na Mwemyekiti wa Halmashauri ya Nachingwea ndugu Adinan Mpyagila  na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo Mhandisi Chionda A. Kawawa wametambulisha mradi wa maji katika vijij vitano vya kata ya Chiola.

Mradi huo utagharimu kiasi cha Shilingi bilioni 119, mradi huu utajengwa kwenye chanzo cha mto Nyangao na utanufaisha Vijij 57 Lindi kijiji 1, Ruangwa vijiji 34 na Nachingwea Vijij 22. Kwa awamu ya kwanza unaenda kutekelezwa katika vijiji 31. Mradi unawakandarasi wawili ambao ni kampuni ya STC kwa mkataba wa Shilingi Bilioni 12 ambao wataanza kwenye eneo la kutibu maji kwenye chanzo cha Maji na EMERATE BUILDERS kwa mkataba wa ni Shilingi Bilioni 107 ambao watasambaza mabomba maeneo yote ya mradi na ameshaanza kazi.

Kwa upande wake Meneja wa Mamlaka ya maji Vijijini (RUWASA) Mhandisi Sultani amewaomba wananchi  kutoa ushirikiano katika kipindi chote cha utekelezaji wa mradi huu. Pia, Mwenyekiti wa Halmashauri ndugu Adinan Mpygila  amewataka wananchi wawe mstari wa mbele  na wawe askari wazuri kwenye ulinzi wa vifaa na matumizi ya fedha katika mradi huo pia amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha hizo katika Wilaya ya Nachingwea zitakazo kwenda kupunguza taizo la Maji katika wilaya ya Nachingwea.

Aidha, Mhe. Moyo amemshukuru Mhe Rais Dokta Samia Suluhu Hassan  kwa kutoa kiasi cha Shilingi bilioni 119 kwa ajili ya kukamilisha Mradi huo, pia ameongeza kwa kusema dhamira ya Mhe Rais ni kumtua ndoo Mama kichwani, hivyo mradi huu utakuwa mkombozi wa kutatua changamoto za maji. Amewaomba wananchi watunze mradi huo kwa umakini wa hali ya juu na wawe walinzi. Pia Mhe Moyo hajaridhishwa na hali ya barabara ya Ntimbo hivyo ametoa maagizo kwa Meneja wa TARURA atafute fedha kokote kwa ajili ya marekebisho ya  barabara hiyo



#tupovizuri

Matangazo

  • ORODHA YA WANAOITWA KWENYE MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI March 26, 2022
  • TANGAZO LA AJIRA WATENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 16 NA DERAVA DARAJA II NAFASI NNE May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA AJIRA ZA UTENDAJI WA KIJIJI NA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA YA NACHINGWEA July 22, 2022
  • Tangazo la kazi za muda December 27, 2019
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WANAFUNZI WA NACHINGWEA HIGH NA RUGWA BOYS WAAGWA KWA HAFLA FUPI, WAJIANDAA KWA MITIHANI YA TAIFA

    April 26, 2025
  • SDA NA LIIKE WATOA MAFUNZO YA HUDUMA YA KWANZA KWA MANGALIBA NA WALOMBO KWA AJILI YA KUIMARISHA UTAMADUNI SALAMA

    April 28, 2025
  • DED NACHINGWEA : AAGIZA MIRADI KUKAMILIKA KWA WAKATI NA KWA KUZINGATIA VIWANGO

    April 09, 2025
  • RC LINDI : MIRADI YOTE ITAKAYOPITIWA NA MWENGE IZINGATIE MATUMIZI BORA YA FEDHA

    April 05, 2025
  • Angalia zote

Video

Wakulima wasisitizwa kulima mazao ya chakula
Video za mpya

Kurasa za Haraka

  • Opras Form
  • Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nachingwea Eng. Chionda Alli Mfaume akizungumza waluu wa idara
  • MRADI WA MAJI NAMIKANGO WAZINDULIWA
  • Mpango wa Bajeti
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2021
  • UANZISHWAJI WA BLOCK FARMING WANANCHI WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
  • MRADI WA MAJI WA ZAIDI YA BILIONI 1 WAANZA KUTEKELEZWA NAIPANGA
  • Sheria za Fedha za Mitaa
  • Sheria za Halmashauri

Tovuti mashuhuri

  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TUZO ZA ELIMU WILAYA YA NACHINGWEA
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao

Idadi ya Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.