Sunday 26th, January 2025
@Uwanja wa Maulid
Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Rukia Muwango anawaalika wananchi wote kujitokeza katika uwanja wa Maulid kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuwabaini na hatimaye kuwapatia tiba watoto wenye matatizo ya mgongo wazi na vichwa vikubwa litakalofanyika uwanja wa Maulid kuanzia saa tatu asubuhi
Copyright ©2018 Nachingwea District Council. All rights reserved.